Jumatatu ya 15 ya Mwaka
· Mwaka C
Somo la Kwanza
Isa 1:10-17Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 50:8-9, 16-17, 21, 23Nitamwonyesha wokovu wa Mungu.
Sitakukemea kwa ajili ya dhabihu zako, Na kafara zako ziko mbele zangu daima.
Sitatwaa ng'ombe katika nyumba yako, Wala beberu katika mazizi yako.
K. Nitamwonyesha wokovu wa Mungu.
Una nini wewe kuitangaza sheria yangu, Na kuliweka agano langu kinywani mwako?
Maana wewe umechukia maonyo, Na kuyatupa maneno yangu nyuma yako.
K. Nitamwonyesha wokovu wa Mungu.
Ndivyo ulivyofanya, nami nikanyamaza; Ukadhani ya kuwa Mimi ni kama wewe.
Walakini nitakukemea; Nitayapanga hayo mbele ya macho yako.
Atoaye dhabihu za kushukuru, Ndiye anayenitukuza.
Naye autengenezaye mwenendo wake, Nitamwonyesha wokovu wa Mungu.
K. Nitamwonyesha wokovu wa Mungu.
Shangilio la Injili
Mt 5:10Heri wenye kuudhiwa kwa ajili ya haki; Maana ufalme wa mbinguni ni wao.
Aleluya
Injili
Mt 10:34-11:1Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni