Jumatatu ya 23 ya Mwaka
· Mwaka A · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
1Kor 5:1–8Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 5:4–6, 11Bwana, uniongoze kwa haki yako.
Unawachukia wote watendao ubatili.
Utawaharibu wasemao uongo;
Bwana humzira mwuaji na mwenye hila.
K. Bwana, uniongoze kwa haki yako.
Maana huwi Mungu apendezwaye na ubaya;
Mtu mwovu hatakaa kwako;
Wajivunao hawatasimama mbele za macho yako.
K. Bwana, uniongoze kwa haki yako.
Nao wote wanaokukimbilia watafurahi;
Watapiga daima kelele za furaha.
Kwa kuwa Wewe unawahifadhi,
Walipendao jina lako watakufurahia.
K. Bwana, uniongoze kwa haki yako.
Shangilio la Injili
Zab 19:8Amri ya Bwana ni safi, huyatia macho nuru.
Alelluya.
Injili
Lk 6:6–1Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni