Jumanne ya 21 ya Mwaka
· Mwaka A · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
2The 2:1-3, 14-17Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 96:10-13Bwana anakuja aihukumu nchi
Semeni katika mataifa, Bwana ametamalaki;
Naam, ulimwengu umethibitika usitikisike, Atawahukumu watu kwa adili.
K. Bwana anakuja aihukumu nchi
Mbingu na zifurahi, nchi na ishangilie, Bahari na ivume na vyote viijazavyo,
Mashamba na yashangilie, na vyote vilivyomo, Ndipo miti yote ya mwituni iimbe kwa furaha;
K. Bwana anakuja aihukumu nchi
Mbele za Bwana, kwa maana anakuja, Kwa maana anakuja aihukumu nchi.
Atauhukumu ulimwengu kwa haki, Na mataifa kwa uaminifu wake.
K. Bwana anakuja aihukumu nchi
Shangilio la Injili
Ebr 4:12Neno la Mungu li hai, tena lina nguvu, tena li jepesi kuyatambua mawazo na makusudi ya moyo.
Aleluya
Injili
Mt 23:23-26Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni