Ijumaa ya 14 ya Mwaka
· Mwaka C
Somo la Kwanza
Hos 14:2-9Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 51:1-2, 6-7, 10-11, 15Ulimi wangu utaiimba haki yako.
Ee Mungu, unirehemu, Sawasawa na fadhili zako. Kiasi cha wingi wa rehema zako, Uyafute makosa yangu.
Unioshe kabisa na uovu wangu, Unitakase dhambi zangu.
K. Ulimi wangu utaiimba haki yako.
Tazama, wapendezwa na kweli iliyo moyoni; Nawe utanijulisha hekima kwa siri,
Unisafishe kwa hisopo nami nitakuwa safi, Unioshe, nami nitakuwa mweupe kuliko theluji
K. Ulimi wangu utaiimba haki yako.
Ee Mungu, uniumbie moyo safi, Uifanye upya roho iliyotulia ndani yangu
Usinitenge na uso wako, Wala roho yako mtakatifu usiniondolee.
Ee Bwana, uifumbue midomo yangu, Na kinywa changu kitazinena sifa zako.
K. Ulimi wangu utaiimba haki yako.
Shangilio la Injili
Yn 16:13a; 14:26dLakini yeye atakapokuja, huyo Roho wa kweli, atawafundisha yote, na kuwakumbusha yote niliyowaambia.
Aleluya
Injili
Mt 10:16-23Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni