Sherehe ya Kupalizwa Bikira Maria Mbinguni
· Mwaka A
Somo la Kwanza
Ufu 11:19, 12:1-6, 10Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 45:9-11, 15Mkono wako wa kuume amesimama malkia. amevaa dhahabu ya Ofiri.
Binti za wafalme wamo
Miongoni mwa akina bibi wako wastahiki.
Mkono wako wa kuume amesimama malkia,
Amevaa dhahabu ya Ofiri.
Sikia, binti, utazame, utege sikio lako,
Uwasahau watu wako na nyumba ya baba yako.
K. Mkono wako wa kuume amesimama malkia. amevaa dhahabu ya Ofiri.
Naye mfalme atautamani uzuri wako,
Maana ndiye bwana wako, nawe umsujudie.
Watapelekwa kwa furaha na shangwe,
Na kuingia katika nvumba va mfalme.
K. Mkono wako wa kuume amesimama malkia. amevaa dhahabu ya Ofiri.
Somo la Pili
1Kor 15:20-26Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
ShangilioMaria amepalizwa mbinguni majeshi yote ya malaika wanafurahi.
Aleluya.
Injili
Lk 1:39-56Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni