Dominika ya 15 ya Mwaka
· Mwaka A · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
Isa 55:10-11Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 65:9-13Mbegu nyingine zikaanguka penye udongo mzuri zikamea, zikazaa.
Umeijilia nchi na kuisitawisha,
Umeitajirisha sana;
Mto wa Mungu umejaa maji;
Wawaruzuku watu nafaka Maana ndiwe uitengenezaye ardhi.
K. Mbegu nyingine zikaanguka penye udongo mzuri zikamea, zikazaa.
Matuta yake wayajaza maji; Wapasawazisha palipoinuka,
Wailainisha nchi kwa manyunyu; Waibariki mimea yake.
K. Mbegu nyingine zikaanguka penye udongo mzuri zikamea, zikazaa.
Umeuvika mwaka taji ya wema wako;
Mapito yako yadondoza unono.
Huyadondokea malisho ya nyikani,
Na vilima vyajifunga furaha.
K. Mbegu nyingine zikaanguka penye udongo mzuri zikamea, zikazaa.
Na malisho yamevikwa kondoo,
Na mabonde yamepambwa nafaka,
Yanashangilia, naam, yanaimba.
K. Mbegu nyingine zikaanguka penye udongo mzuri zikamea, zikazaa.
Somo la Pili
Rum 8:18-23Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Efe 1:17, 18Baba wa Bwana wetu Yesu Kristu, Ayatie nuru macho ya mioyo yetu, Ili tujue tumaini la mwito wake jinsi lilivyo.
Aleluya.
Injili
Mt 13:1-23Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni