Alhamisi ya 14 ya Mwaka
· Mwaka A · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
Hos 11:1, 3-4, 8–9Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 80:1–2, 14–15Uangazishe uso wako, Ee Bwana, nasi tutaokoka.
Wewe uchungaye Israeli, usikie,
Wewe umwongozaye Yusufu kama kundi;
Wewe uketiye juu ya makerubi, utoe nuru.
Uziamshe nguvu zako.
Uje, utuokoe.
K. Uangazishe uso wako, Ee Bwana, nasi tutaokoka.
Ee Mungu wa majeshi, tunakusihi, urudi,
Utazame toka juu uone, uujilie mzabibu huu.
Na mche ule ulioupanda
Kwa mkono wako wa kuume;
Na tawi lile ulilolifanya
Kuwa imara kwa nafsi yako.
K. Uangazishe uso wako, Ee Bwana, nasi tutaokoka.
Shangilio la Injili
Yak 1:18Kwa kupenda kwake mwenyewe, Baba alituzaa sisi kwa neno la kweli, tuwe kama limbuko la viumbe vyake.
Aleluya.
Injili
Mt 10:7–15Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni