Kumbukumbu ya Moyo Safi wa Bikira Maria Imakulata
· Mwaka A · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
2Nya 24:17-25Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 89:3-4, 28-33Nimefanya agano na mteule wangu, Nimemuapia Daudi, mtumishi wangu.
Wazao wako nitawafanya imara milele, Nitakijenga kiti chako cha enzi hata milele.
(K)Nitamwekea fadhili zangu milele.
Hata milele nitamwekea fadhili zangu, Na agano langu litafanyika amini kwake.
Wazao wake nao nitawadumisha milele, Na kiti chake cha enzi kama siku za mbingu.
(K)Nitamwekea fadhili zangu milele.
Wanawe wakiiacha sheria yangu, Wasiende katika hukumu zangu,
Wakizihalifu amri zangu, Wasiyashike maagizo yangu,
(K)Nitamwekea fadhili zangu milele.
Basi, nitawarudi makosa yao kwa fimbo, Na uovu wao kwa mapigo.
Lakini fadhili zangu sitamwondolea yeye, Wala sitafanya uaminifu wangu kuwa uongo.
(K)Nitamwekea fadhili zangu milele.
Shangilio la Injili
2Kor 8:9Bwana wetu Yesu Kristo alivyokuwa maskini kwa ajili yenu, ili kwamba ninyi mpate kuwa matajiri kwa umaskini wake.
Aleluya
Injili
Mt 6:24-34Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni