Jumamosi ya 7 ya Pasaka
· Mwaka A · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
Mdo 28:16-20, 30-31Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 11:4-5, 7Wanyofu wa moyo wauona uso wake, Ee Bwana.
Bwana yu katika hekalu lake takatifu.
Bwana ambaye kiti chake kiko mbinguni,
Macho yake yanaangalia;
Kope zake zinawajaribu wanadamu.
K. Wanyofu wa moyo wauona uso wake, Ee Bwana.
Bwana humjaribu mwenye haki;
Bali nafsi yake humchukia asiye haki,
Na mwenye kupenda udhalimu.
Kwa kuwa Bwana ndiye mwenye haki,
Apenda matendo ya haki,
Wanyofu wa moyo watamwona uso wake.
K. Wanyofu wa moyo wauona uso wake, Ee Bwana.
Injili
Yn 21:20-25Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni