Sherehe ya Watakatifu Petro na Paulo Mitume
· Mwaka C
Somo la Kwanza
Mdo 12:1-11Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 34:1-8Nitamhimidi Bwana kila wakati, Sifa zake zi kinywani mwangu daima.
Katika Bwana nafsi yangu itajisifu, Wanyenyekevu wasikie wakafurahi.
(K)Malaika wa Bwana awaokoa wamchao.
Mtukuzeni Bwana pamoja nami, Na tuliadhimishe jina lake pamoja.
Nalimtafuta Bwana akanijibu, Akaniponya na hofu zangu zote.
(K)Malaika wa Bwana awaokoa wamchao.
Wakamwelekea macho wakatiwa nuru, Wala nyuso zao hazitaona haya.
Maskini huyu aliita, Bwana akasikia, Akamwokoa na taabu zake zote.
(K)Malaika wa Bwana awaokoa wamchao.
Malaika wa Bwana hufanya kituo, Akiwazungukia wamchao na kuwaokoa.
Onjeni mwone ya kuwa Bwana yu mwema; Heri mtu yule anayemtumaini.
(K)Malaika wa Bwana awaokoa wamchao.
Somo la Pili
2 Tim 4:6-8, 17-18Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Mt 16:18Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda.
Aleluya
Injili
Mt 16:13-19Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni