Jumamosi ya 5 ya Pasaka
· Mwaka A · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
Mdo 16:1-10Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 100:1-3, 5Mfanyieni Bwana shangwe, dunia yote.
Mfanyieni Bwana shangwe, dunia yole.
Mtumikieni Bwana kwa furaha.
Njoni mbelc zake kwa kuimba;
K. Mfanyieni Bwana shangwe, dunia yote.
Jueni kwamba Bwana ndiye Mungu;
Ndiye aliyetuumba na sisi tu watu wake:
Tu watu wake, na kondoo wa malisho yake.
K. Mfanyieni Bwana shangwe, dunia yote.
Kwa kuwa Bwana ndiye mwema;
Rehema zake ni za milele;
Na uaminifu wake vizazi na vizazi.
K. Mfanyieni Bwana shangwe, dunia yote.
Shangilio la Injili
Yn 20-29Wewe Toma, umesadiki kwa kuwa umeniona, wa heri wale wasioona wakasadiki.
Aleluya,
Injili
Yn 15:18-21Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni