Sikukuu ya Mt. Matia Mtume
· Mwaka A
Somo la Kwanza
Mdo 1:15-17, 20-26Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 113:1-8Amketishe pamoja na wakuu, pamoja na wakuu wa watu wake.
Aleluya.
Enyi watumishi wa Bwana, sifuni,
Lisifuni jina la Bwana.
Jina la Bwana lihimidiwe
Tangu leo na hata milele.
K. Amketishe pamoja na wakuu, pamoja na wakuu wa watu wake.
Toka maawio ya jua hata machweo yake
Jina la Bwana husifiwa.
Bwana ni mkuu juu ya mataifa yote,
Na utukufu wake ni juu ya mbingu.
K. Amketishe pamoja na wakuu, pamoja na wakuu wa watu wake.
Ni nani aliye mfano wa Bwana,
Mungu wetu aketiye juu;
Anyenyekeaye kutazama,
Mbinguni na duniani?
K. Amketishe pamoja na wakuu, pamoja na wakuu wa watu wake.
Humwinua mnyonge kutoka mavumbini,
Na kumpandisha maskini kutoka jaani.
Amketishe pamoja na wakuu,
Pamoja na wakuu wa watu wake.
K. Amketishe pamoja na wakuu, pamoja na wakuu wa watu wake.
Shangilio la Injili
Yn 15:16Ni mimi niliyewachagua ninyi, nikawaweka mwende mkazae matunda, na matunda yenu yapate kukaa.
Aleluya.
Injili
Yn 15:9-17Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni