Alhamisi ya 3 ya Pasaka
· Mwaka A · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
Mdo 8:26-40Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 66:8-9, 16-17, 20Mpigie Mungu kelele za shangwe, nchi yote.
Enyi mataifa, mtukuzeni Mungu wetu,
Itangazeni sauti ya sifa zake;
Aliyeiweka nafsi yetu katika uhai,
Wala hakuuacha mguu wetu usogezwe.
K. Mpigie Mungu kelele za shangwe, nchi yote.
Njoni sikieni, ninyi nyote mnaomcha Mungu,
Nami nitayatangaza aliyonitendea roho yangu.
Nalimwita kwa kinywa changu,
Na sifa kuu zilikuwa chini ya ulinzi wangu.
K. Mpigie Mungu kelele za shangwe, nchi yote.
Na ahimidiwe Mungu asiyeyakataa maombi yangu;
Wala kuniondolea fadhili zake.
K. Mpigie Mungu kelele za shangwe, nchi yote.
Shangilio la Injili
Yn 20:29Wewe Toma, umesadiki kwa kuwa umeniona, wa heri wale wasioona, wakasadiki.
Aleluya.
Injili
Yn 6:44-51Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni