Jumamosi ya 12 ya mwaka
· Mwaka C
Somo la Kwanza
Omb 2:2, 10-14, 18-19Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 74:1-7, 20-21Ee Mungu, mbona umetutupa milele? Kwa nini hasira yako inatoka moshi Juu ya kondoo wa malisho yako?
Ulikumbuke kusanyiko lako, Ulilolinunua zamani.
Ulilolikomboa liwe kabila ya urithi wako, Mlima Sayuni ulioufanya maskani yako.
(K)Usiusahau milele uhai wa watu wako walioonewa.
Upainulie miguu yako palipoharibika milele; Adui ameufanya kila ubaya katika patakatifu.
Watesi wako wamenguruma kati ya kusanyiko lako; Wameweka bendera zao ziwe alama.
Wanaonekana kama watu wainuao mashoka, Waikate miti ya msituni.
(K)Usiusahau milele uhai wa watu wako walioonewa.
Na sasa nakishi yake yote pia Wanaivunja-vunja kwa mashoka na nyundo.
Wamepatia moto patakatifu pako; Wamelinajisi kao la jina lako hata chini.
(K)Usiusahau milele uhai wa watu wako walioonewa.
Ulitafakari agano; Maana mahali penye giza katika nchi Pamejaa makao ya ukatili.
Aliyeonewa asirejee ametiwa haya, Mnyonge na mhitaji na walisifu jina lako.
(K)Usiusahau milele uhai wa watu wako walioonewa.
Shangilio la Injili
Mt 8:17Yesu aliutwaa udhaifu wetu, Na kuyachukua magonjwa yetu.
Aleluya
Injili
Mt 8:5-17Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni