Sherehe ya Kupashwa Habari Bikira Maria ya kuzaliw
· Mwaka A
Somo la Kwanza
Isa 7:10–14Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 40:6–10Tazama, nimekuja, Ee Bwana, kuyafanya mapenzi yako.
Dhabihu na matoleo hukupendezwa nazo,
Masikio yangu umeyazibua,
Kafara na sadaka za dhambi hukuzitaka.
Ndipo niliposema, Tazama nimekuja.
K. Tazama, nimekuja, Ee Bwana, kuyafanya mapenzi yako.
Katika gombo la chuo nimeandikiwa
Kuyafanya mapenzi yako,
Ee Mungu wangu, ndiyo furaha yangu;
Naam, sheria yako imo moyoni mwangu.
K. Tazama, nimekuja, Ee Bwana, kuyafanya mapenzi yako.
Nimehubiri habari za haki katika kusanyiko kubwa,
Sikuizuia midomo yangu; Ee Bwana, unajua.
K. Tazama, nimekuja, Ee Bwana, kuyafanya mapenzi yako.
Sikusitiri haki yako moyoni mwangu;
Nimetangaza uaminifu wako na wokovu wako.
Sikuficha fadhili zako wala kweli yako
Katika kusanyiko kubwa.
K. Tazama, nimekuja, Ee Bwana, kuyafanya mapenzi yako.
Somo la Pili
Ebr 10:4–10Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Yn 1:14Injili
Lk 1:26-38Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni