Ijumaa ya 2 ya Kwaresima
· Mwaka A · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
Mwa 37:3-4, 12-13, 17-28Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 105:16-21Zikumbukeni ajabu zake Bwana alizozifanya.
Akaiita njaa iijilie nchi,
Akakiharibu chakula chote walichokitegemea.
Alimpeleka mtu mbele yao,
Yusufu utumwani.
K. Zikumbukeni ajabu zake Bwana alizozifanya.
Walimwumiza miguu yake kwa pingu,
Akatiwa katika minyororo ya chuma.
Hata wakati wa kuwadia neno lake,
Ahadi ya Bwana ilimjaribu.
K. Zikumbukeni ajabu zake Bwana alizozifanya.
Mfalme alituma watu akamfungua,
Mkuu wa watu akamwachia.
Akamweka kuwa bwana wa nyumba yake,
Na mwenye amri juu ya mali zake zote.
K. Zikumbukeni ajabu zake Bwana alizozifanya.
Shangilio la Injili
Yn 3:16Injili
Mt 21:33-43; 45-46Wakuu wa makuhani na Mafarisayo, waliposikia mifano yake, walitambua ya kuwa anawanenea wao. Nao walipotafuta kumkamata waliogopa makutano, kwa maana wao walimwona kuwa nabii.
Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni