Alhamisi ya 1 ya Kwaresima
· Mwaka A · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
Est 4:17Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 138:1-3, 8-9Siku ile niliyokuita uliniitikia, Ukanifariji nafsi kwa kunitia nguvu.
Nitakushukuru kwa moyo wangu wote,
Mbele ya miungu nitakuimbia zaburi.
Nitasujudu nikilikabili hekalu lako takatifu,
Nitalishukuru jina lako.
K. Siku ile niliyokuita uliniitikia, Ukanifariji nafsi kwa kunitia nguvu.
Kwa ajili ya fadhili zako na uaminifu wako,
Kwa amana umeikuza ahadi yako,
Kuliko jina lako lote.
Siku ile niliyokuita uliniitikia,
Ukanifariji nafsi kwa kunitia nguvu.
K. Siku ile niliyokuita uliniitikia, Ukanifariji nafsi kwa kunitia nguvu.
Na mkono wako wa kuume utaniokoa.
Bwana atanitimilizia mambo yangu;
Ee Bwana, fadhili zako ni za milele;
Usiziache kazi za mikono yako.
K. Siku ile niliyokuita uliniitikia, Ukanifariji nafsi kwa kunitia nguvu.
Shangilio la Injili
Eze 33:11Injili
Mt 7:7-12Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni