Jumanne ya 7 ya Mwaka
· Mwaka A · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
Yak 4:1-10Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 55:5-10, 22Nikasema, Ningekuwa na mbawa kama njiwa, Ningerukia mbali na kustarehe.
Ningekwenda zangu mbali, Ningetua jangwani.
(K)Umtwike Bwana mzigo wako naye atakutegemeza, hatamwacha mwenye haki aondoshwe milele
Ningefanya haraka kuzikimbia Dhoruba na tufani.
Ee Bwana, uwaangamize, uzichafue ndimi zao,
(K)Umtwike Bwana mzigo wako naye atakutegemeza, hatamwacha mwenye haki aondoshwe milele
Maana nimeona dhuluma na fitina katika mji.
Mchana na usiku huzunguka kutani mwake;
(K)Umtwike Bwana mzigo wako naye atakutegemeza, hatamwacha mwenye haki aondoshwe milele
Umtwike Bwana mzigo wako naye atakutegemeza,
Hatamwacha mwenye haki aondoshwe milele.
(K)Umtwike Bwana mzigo wako naye atakutegemeza, hatamwacha mwenye haki aondoshwe milele
Shangilio la Injili
Gal 6:14Nisione fahari juu ya kitu cho chote ila msalaba wa Bwana wetu Yesu Kristo, ambao kwa huo ulimwengu umesulibishwa kwangu, na mimi kwa ulimwengu.
Aleluya
Injili
Mk 9:30-37Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni