Jumanne ya 6 ya Mwaka
· Mwaka A · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
Yak 1:12-18Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 94:12-15, 18-19Ee Bwana, heri mtu yule uliyemfundisha.
Ee Bwana, heri mtu yule umwadhibuye na kumfundisha,
Kwa sheria yako;
Mpate kumstarehesha siku ya mabaya.
K. Ee Bwana, heri mtu yule uliyemfundisha.
Kwa kuwa Bwana hatawatupa watu wake,
Wala hutauacha urithi wake,
Maana hukumu itairejea haki,
Na wote walio wanyofu wa moyo wataifuata.
K. Ee Bwana, heri mtu yule uliyemfundisha.
Niliposema, mguu wangu unateleza;
Ee Bwana, fadhili zako zilinitegemeza.
Katika wingi wa mawazo ya moyoni mwangu,
Faraja zako zaifurahisha roho yangu.
K. Ee Bwana, heri mtu yule uliyemfundisha.
Shangilio la Injili
Yn 14:23Mtu akinipenda, atalishika neno langu, na baba yangu atampenda, nasi tutakuja kwake.
Aleluya.
Injili
Mk 8:14–21Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni