Jumamosi ya 5 ya Mwaka
· Mwaka A · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
1Fal 12:26-32; 13:33-34Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 106:6-7, 19-22Ee Bwana, unikumbuke mimi, kwa kibali uliyonayo kwa watu wako.
Tumetenda dhambi pamoja na baba zetu,
Tumetenda maovu, tumefanya ubaya.
Baba zetu katika Misri
Hawakufikiri matendo yako ya ajabu.
K. Ee Bwana, unikumbuke mimi, kwa kibali uliyonayo kwa watu wako.
Walifanya ndama huko Horebu,
Wakaisujudia sanamu ya kuyeyuka.
Wakaubadili utukufu wao
Kuwa mfano wa ng’ombe mla majani.
K. Ee Bwana, unikumbuke mimi, kwa kibali uliyonayo kwa watu wako.
Wakamsahau Mungu mwokozi wao,
Aliyetenda makuu katika Misri:
Matendo makuu katika nchi ya Hamu,
Mambo ya kutisha penye bahari ya Shamu.
K. Ee Bwana, unikumbuke mimi, kwa kibali uliyonayo kwa watu wako.
Shangilio la Injili
Mt 4:4Mtu hataishi kwa mkate tu, ila kwa kila neno litokalo katika kinywa cha Mungu.
Aleluya.
Injili
Mk 8:1–10Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni