Alhamisi ya 5 ya Mwaka
· Mwaka A · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
1Fal 11:4-13Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 106:3-4, 35-37, 40Ee Bwana utukumbuke kwa kibali uliyonayo kwa watu wako.
Heri washikao hukumu, Na kutenda haki sikuzote.
Ee Bwana, unikumbuke mimi,
Kwa kibali uliyo nayo kwa watu wako.
Unijilie kwa wokovu wako,
K. Ee Bwana utukumbuke kwa kibali uliyonayo kwa watu wako.
Bali walijichanganya na mataifa,
Wakajifunza matendo yao.
Wakazitumikia sanamu zao,
Nazo zikawa mtego kwao.
K. Ee Bwana utukumbuke kwa kibali uliyonayo kwa watu wako.
Naam, walitoa wana wao na binti zao Kuwa dhabihu kwa mashetani.
Hasira ya Bwana ikawaka juu ya watu wake,
Akauchukia urithi wake.
K. Ee Bwana utukumbuke kwa kibali uliyonayo kwa watu wako.
Injili
Mk 7:24-30Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni