Kumbukumbu ya Mt. Skolastika, Mtawa
· Mwaka A · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
1Fal 8:1-7, 9-13Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 132:6-10Ee Bwana, uinuke, uende kwenye raha yako.
Tazama, tulisikia habari zake katika Efrata,
Katika konde la Yearimu tuliiona.
Na tuingie katika maskani yake,
Tusujudu penye kiti cha kuwekea miguu yake.
K. Ee Bwana, uinuke, uende kwenye raha yako.
Ee Bwana, uinuke, uende kwenye raha yako,
Wewe na sanduku la nguvu zako.
Makuhani wako na wavikwe haki,
Watauwa wako na washangilie.
Kwa ajili ya Daudi, mtumishi wako,
Usiurudishe nyuma uso wa masihi
K. Ee Bwana, uinuke, uende kwenye raha yako.
Injili
Mk 6:53-56Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni