Alhamisi ya 3 ya Mwaka
· Mwaka A · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
2Sam 7:18-19, 24-29Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 132: 1-5, 11-14Bwana Mungu atampa kiti cha enzi cha Daudi, Baba yake.
Bwana, umkumbukie Daudi Taabu zake zote alizotaabika.
Ndiye aliyemwapia Bwana, Akaweka nadhiri kwa Shujaa wa Yakobo.
K. Bwana Mungu atampa kiti cha enzi cha Daudi, Baba yake.
Sitaingia hemani mwa nyumba yangu,
Wala sitapanda matandiko ya kitanda changu;
Sitaacha macho yangu kuwa na usingizi,
Wala kope zangu kusinzia;
Hata nitakapompatia Bwana mahali,
Na Shujaa wa Yakobo maskani.
K. Bwana Mungu atampa kiti cha enzi cha Daudi, Baba yake.
Bwana amemwapia Daudi neno la kweli,
Hatarudi nyuma akalihalifu,
Baadhi ya wazao wa mwili wako Nitawaweka katika kiti chako cha enzi.
K. Bwana Mungu atampa kiti cha enzi cha Daudi, Baba yake.
Wanao wakiyashika maagano yangu,
Na shuhuda nitakazowafundisha;
Watoto wao nao wataketi Katika kiti chako cha enzi milele.
K. Bwana Mungu atampa kiti cha enzi cha Daudi, Baba yake.
Kwa kuwa Bwana ameichagua Sayuni,
Ameitamani akae ndani yake.
Hapo ndipo mahali pangu pa raha milele,
Hapo nitakaa kwa maana nimepatamani.
K. Bwana Mungu atampa kiti cha enzi cha Daudi, Baba yake.
Injili
Mk 4:21-25Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni