Alhamisi ya 2 ya Mwaka
· Mwaka A · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
1Sam 18:6-9; 19:1-7Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 56:1-2, 8-12Nimemtumaini Mungu sitaogopa
Mungu, unirehemu, maana yuko atakaye kunimeza,
Mchana kutwa ananionea akileta vita.
Adui zangu wanataka kunimeza mchana kutwa,
Maana waletao vita juu yangu kwa kiburi ni wengi.
K. Nimemtumaini Mungu sitaogopa
Umehesabu kutanga-tanga kwangu;
Uyatie machozi yangu katika chupa yako;
(Je! Hayamo katika kitabu chako?)
Ndipo adui zangu watarudi nyuma siku ile niitapo.
K. Nimemtumaini Mungu sitaogopa
Neno hili najua kuwa MUNGU yu upande wangu;
Kwa msaada wa MUNGU nitalisifu neno lake.
Kwa msaada wa Bwana nitalisifu neno lake.
K. Nimemtumaini Mungu sitaogopa
Nimemtumaini Mungu, sitaogopa;
Mwanadamu atanitenda nini?
Ee Mungu, nadhiri zako zi juu yangu;
Nitakutolea dhabihu za kushukuru.
K. Nimemtumaini Mungu sitaogopa
Injili
Mk 3:7-12Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni