Jumatano ya 11 ya Mwaka
· Mwaka C
Somo la Kwanza
2 Fal 2:1, 6-14Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 31:19, 20, 23Jinsi zilivyo nyingi fadhili zako Ulizowawekea wakuchao;
Ulizowatendea wakukimbiliao Mbele ya wanadamu!
(K)Iweni hodari, mpige moyo konde, ninyi nyote mnaomgoja Bwana.
Utawasitiri na fitina za watu Katika sitara ya kuwapo kwako;
Utawaficha katika hema Na mashindano ya ndimi.
(K)Iweni hodari, mpige moyo konde, ninyi nyote mnaomgoja Bwana.
Mpendeni Bwana, Ninyi nyote mlio watauwa wake.
Bwana huwahifadhi waaminifu, Humlipa atendaye kiburi malipo tele.
(K)Iweni hodari, mpige moyo konde, ninyi nyote mnaomgoja Bwana.
Shangilio la Injili
Yn 14:23Mtu akinipenda, atalishika neno langu; na Baba yangu atampenda; nasi tutakuja kwake, na kufanya makao kwake.
Aleluya
Injili
Mt 6:1-6, 16-18Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni