Sherehe ya Maria Mtakatifu Mama wa Mungu
· Mwaka A
Somo la Kwanza
Hes 6:22-27Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 67:1-2, 4, 6-7Mungu na atufadhili na kutubariki.
Mungu na atufadhili na kutubariki,
Na kutuangazia uso wake.
Njia yake ijulikane duniani,
Wokovu wake katikati ya mataifa yote.
K. Mungu na atufadhili na kutubariki.
Mataifa na washangilie,
Naam, waimbe kwa furaha,
Maana kwa haki utawahukumu watu,
Na kuwaongoza mataifa walioko duniani.
K. Mungu na atufadhili na kutubariki.
Nchi imetoa mazao yake;
Mungu, Mungu wetu, ametubariki.
Mungu atatubariki sisi;
Miisho yote ya dunia itamcha Yeye.
K. Mungu na atufadhili na kutubariki.
Somo la Pili
Gal 4:4-7Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Injili
Lk 2:16-21Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni