Dominika ya 4 ya Majilio
· Mwaka A · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
Isa 7:10-14Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 24:1-6Mfalme mtukufu apate kuingia, yeye ndiye Mfalme Mtukufu
Nchi na vyote viijazavyo ni mali ya Bwana,
Dunia na wote wakaao ndani yake.
Maana ameiweka misingi yake juu ya bahari,
Na juu ya mito ya maji aliithibitisha.
K. Mfalme mtukufu apate kuingia, yeye ndiye Mfalme Mtukufu
Ni nani atakayepanda katika mlima wa Bwana?
Ni nani atakayesimama katika patakatifu pake?
Mtu aliye na mikono safi na moyo mweupe,
Asiyeiinua nafsi yake kwa ubatili, Wala hakuapa kwa hila.
K. Mfalme mtukufu apate kuingia, yeye ndiye Mfalme Mtukufu
Atapokea baraka kwa Bwana,
Na haki kwa Mungu wa wokovu wake.
Hiki ndicho kizazi cha wamtafutao,
Wakutafutao uso wako, Ee Mungu wa Yakobo.
K. Mfalme mtukufu apate kuingia, yeye ndiye Mfalme Mtukufu
Somo la Pili
Rum 1:1-7Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Mt 1:23Tazama Bikira atachukua mimba, Naye atamzaa mwana,
Nao watamwita jina lake Imanueli: yaani Mungu pamoja nasi.
Aleluya
Injili
Mt 1:18-25Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni