Sherehe ya Bikira Maria Mkingiwa dhambi ya asili
· Mwaka A
Somo la Kwanza
Mwa 3:9-15, 20Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 98:1-4Mwimbieni Bwana wimbo mpya, kwa maana ametenda mambo ya ajabu.
Mwimbieni Bwana wimbo mpya, Kwa maana ametenda mambo ya ajabu.
Mkono wa kuume wake mwenyewe, Mkono wake mtakatifu umemtendea wokovu.
K. Mwimbieni Bwana wimbo mpya, kwa maana ametenda mambo ya ajabu.
Bwana ameufunua wokovu wake, Machoni pa mataifa ameidhihirisha haki yake.
Amezikumbuka rehema zake, Na uaminifu wake kwa nyumba ya Israeli.
K. Mwimbieni Bwana wimbo mpya, kwa maana ametenda mambo ya ajabu.
Miisho yote ya dunia imeuona Wokovu wa Mungu wetu.
Mshangilieni Bwana, nchi yote, Inueni sauti, imbeni kwa furaha, imbeni zaburi.
K. Mwimbieni Bwana wimbo mpya, kwa maana ametenda mambo ya ajabu.
Somo la Pili
Efe 1:3-6, 11-12Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Lk 1:28Salamu, Mariamu, ulipewa neema. Bwana yu pamoja nawe! Umebarikiwa katika wanawake.
Aleluya.
Injili
Lk 1:26-38Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni