Alhamisi ya 32 ya Mwaka
· Mwaka C · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
Hek 7:22-8:1Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 119:89-91,130,135,175Ee Bwana, neno lako lasimama hata milele.
Ee Bwana, neno lako lasimama,
Imara mbinguni hata milele.
Uaminifu wako upo kizazi baada ya kizazi.
Umeiweka nchi, nayo inakaa.
K. Ee Bwana, neno lako lasimama hata milele.
Kwa hukumu zako vimesimama imara hata leo,
Maana vitu vyote ni watumishi wako.
Kufafanusha maneno yako kwatia nuru,
Na kumfahamisha mjinga.
K. Ee Bwana, neno lako lasimama hata milele.
Umwangazie mtumishi wako uso wako,
Na kunifundisha amri zako.
Nafsi yangu na iishi, ipate kukusifu,
Na hukumu zako zinisaidie.
K. Ee Bwana, neno lako lasimama hata milele.
Shangilio la Injili
Zab 119:135Umwangazie mtumishi wako uso wako, na kunifundisha amri zako.
Aleluya.
Injili
Lk 17:20-25Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni