Alhamisi ya 30 ya Mwaka
· Mwaka C · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
Rum 8:31-39Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 109:21-22, 26-27, 30-31Ee Bwana, uniokoe sawasawa na fadhili zako.
Na Wewe, MUNGU, Bwana, unitendee kwa ajili ya jina lako,
Kwa kuwa fadhili zako ni njema uniokoe.
Kwa maana mimi ni mnyonge na mhitaji,
Na moyo wangu umejeruhi ndani yangu.
K. Ee Bwana, uniokoe sawasawa na fadhili zako.
Ee Bwana, Mungu wangu, unisaidie,
Uniokoe sawasawa na fadhili zako.
Nao wakajue ya kuwa ndio mkono wako;
Wewe, Bwana, umeyafanya hayo.
K. Ee Bwana, uniokoe sawasawa na fadhili zako.
Nitamshukuru Bwana kwa kinywa changu,
Naam, nitamsifu katikati ya mkutano.
Maana atasimama mkono wa kuume wa mhitaji
Amwokoe na wanaoihukumu nafsi yake.
K. Ee Bwana, uniokoe sawasawa na fadhili zako.
Injili
Lk 13:31-35Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni