Jumatano ya 29 ya Mwaka
· Mwaka C · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
Rum 6:12-18Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 124Msaada wetu u katika jina la Bwana.
Kama si Bwana aliyekuwa pamoja nasi,
Israeli na aseme sasa,
Kama si Bwana aliyekuwa pamoja nasi,
Wanadamu walipotushambulia.
Papo hapo wangalitumeza hai,
Hasira yao ilipowaka juu yetu
K. Msaada wetu u katika jina la Bwana.
Papo hapo maji yangalitugharikisha,
Mto ungalipita juu ya roho zetu;
Papo hapo yangalipita juu ya nafsi zetu Maji yafurikayo.
Na ahimidiwe Bwana;
Asiyetutoa kuwa mawindo kwa meno yao.
K. Msaada wetu u katika jina la Bwana.
Nafsi yetu imeokoka kama ndege Katika mtego wa wawindaji,
Mtego umevunjika, nasi tumeokoka.
Msaada wetu u katika jina la Bwana,
Aliyezifanya mbingu na nchi.
K. Msaada wetu u katika jina la Bwana.
Injili
Lk 12:39-48Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni