Dominika ya 29 ya Mwaka
· Mwaka C · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
Kut 17:8-13Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 121Msaada wangu u katika Bwana, Aliyezifanya mbingu na nchi.
Nitayainua macho yangu niitazame milima,
Msaada wangu utatoka wapi?
Msaada wangu u katika Bwana,
Aliyezifanya mbingu na nchi.
K. Msaada wangu u katika Bwana, Aliyezifanya mbingu na nchi.
Asiuache mguu wako usogezwe;
Asisinzie akulindaye;
Naam, hatasinzia wala hatalala usingizi,
Yeye aliye mlinzi wa Israeli.
K. Msaada wangu u katika Bwana, Aliyezifanya mbingu na nchi.
Bwana ndiye mlinzi wako;
Bwana ni uvuli mkono wako wa kuume.
Jua halitakupiga mchana,
Wala mwezi wakati wa usiku.
K. Msaada wangu u katika Bwana, Aliyezifanya mbingu na nchi.
Bwana atakulinda na mabaya yote,
Atakulinda nafsi yako.
Bwana atakulinda utokapo na uingiapo,
Tangu sasa na hata milele.
K. Msaada wangu u katika Bwana, Aliyezifanya mbingu na nchi.
Somo la Pili
2Tim 3:14- 4:2Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Yn 17:17Neno lako ndiye kweli, ee Bwana; Ututakase sisi kwa ile kweli.
Aleluya.
Injili
Lk 18:1-8Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni