Ijumaa ya 27 ya Mwaka
· Mwaka C · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
Yoe 1:13-15, 2:1-2Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 9:1-2, 5, 15, 7-8Bwana atahukumu ulimwengu kwa haki
Nitamshukuru Bwana kwa moyo wangu wote;
Nitayasimulia matendo yako yote ya ajabu;
Nitafurahi na kukushangilia Wewe;
Nitaliimbia jina lako, Wewe Uliye juu.
K. Bwana atahukumu ulimwengu kwa haki
Umewakemea mataifa;
Na kumwangamiza mdhalimu;
Umelifuta jina lao milele na milele;
Mataifa wamezama katika shimo walilolifanya;
Kwa wavu waliouficha imenaswa miguu yao.
K. Bwana atahukumu ulimwengu kwa haki
Bali Bwana atakaa milele,
Ameweka kiti chake tayari kwa hukumu.
Naye atauhukumu ulimwengu kwa haki;
Atawaamua watu kwa adili.
K. Bwana atahukumu ulimwengu kwa haki
Injili
Lk 11:15-26Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni