Jumanne ya 27 ya Mwaka
· Mwaka C · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
Yon 3:1-10Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 130:1-4, 7-8Bwana, kama Wewe ungehesabu maovu, nani angesimama?
Ee Bwana, toka vilindini nimekulilia.
Bwana, uisikie sauti yangu.
Masikio yako na yaisikilize Sauti ya dua zangu.
K. Bwana, kama Wewe ungehesabu maovu, nani angesimama?
Bwana, kama Wewe ungehesabu maovu,
Ee Bwana, nani angesimama?
Lakini kwako kuna msamaha,
Ili Wewe uogopwe.
K. Bwana, kama Wewe ungehesabu maovu, nani angesimama?
Ee Israeli, umtarajie Bwana;
Maana kwa Bwana kuna fadhili,
Na kwake kuna ukombozi mwingi.
Yeye atamkomboa Israeli na maovu yake yote.
K. Bwana, kama Wewe ungehesabu maovu, nani angesimama?
Injili
Lk 10:38-42Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni