Jumamosi ya 26 ya Mwaka
· Mwaka C · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
Bar 4:5-12, 27-29Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 69:32-36Bwana huwasikia wahitaji.
Walioonewa watakapoona watafurahi;
Enyi mmtafutao Mungu, mioyo yenu ihuishwe.
Kwa kuwa Bwana huwasikia wahitaji,
Wala hawadharau wafungwa wake.
Mbingu na nchi zimsifu,
Bahari na vyote viendavyo ndani yake.
K. Bwana huwasikia wahitaji.
Maana Mungu ataiokoa Sayuni,
na kuijenga miji ya Yuda,
Na watu watakaa ndani yake na kuimiliki.
Wazao wa watumishi wake watairithi,
Nao walipendao jina lake watakaa humo.
K. Bwana huwasikia wahitaji.
Injili
Lk 10:17-24Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni