Dominika ya 10 ya Kwaka
· Mwaka C
Somo la Kwanza
1 Fal 17:17-24Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 30:1, 3-5,10-12Ee Bwana nitakutukuza kwa maana umeniinua
Ee Bwana, nitakutukuza kwa maana umeniinua,
Wala hukuwafurahisha adui zangu juu yangu.
K. Ee Bwana nitakutukuza kwa maana umeniinua
Umeniinua nafsi yangu, Ee Bwana, kutoka kuzimu.
Umenihuisha na kunitoa Miongoni mwao washukao shimoni.
K. Ee Bwana nitakutukuza kwa maana umeniinua
Mwimbieni Bwana zaburi, Enyi watauwa wake. Na kufanya shukrani.
Kwa kumbukumbu la utakatifu wake.
Maana ghadhabu zake ni za kitambo kidogo, Katika radhi yake mna uhai.
Huenda kilio huja kukaa usiku, Lakini asubuhi huwa furaha.
K. Ee Bwana nitakutukuza kwa maana umeniinua
Ee Bwana, usikie, unirehemu, Bwana, uwe msaidizi wangu.
K. Ee Bwana nitakutukuza kwa maana umeniinua
Uligeuza matanga yangu kuwa machezo; Ulinivua gunia, ukanivika furaha.
K. Ee Bwana nitakutukuza kwa maana umeniinua
Ili utukufu wangu ukusifu, Wala usinyamaze. Ee Bwana, Mungu wangu, Nitakushukuru milele.
K. Ee Bwana nitakutukuza kwa maana umeniinua
Somo la Pili
Gal 1:11-19Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
1Sam 3:9; Yn 6:8Nena Bwana kwa maana mtumishi wako anasikia; wewe unayo maneno ya uzima wa milele
Aleluya
Injili
Lk 7:11-17Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni