Kumbukumbu ya Mt. Visenti wa Paulo (Padri)
· Mwaka C · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
Hag 1:1, 2:2-9Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 43:1-4Umtumaini Mungu, kwa maana nitakuja kumsifu aliye afya ya uso wangu na Mungu wangu
Ee Bwana, unihukumu,
unitetee kwa taifa lisilo haki,
Uniokoe na mtu wa hila asiye haki.
K. Umtumaini Mungu, kwa maana nitakuja kumsifu aliye afya ya uso wangu na Mungu wangu
Kwa kuwa Wewe ndiwe Mungu uliye nguvu zangu;
kwa nini umenitupa?
Kwa nini ninakwenda nikihuzunika,
adui wakinionea?
K. Umtumaini Mungu, kwa maana nitakuja kumsifu aliye afya ya uso wangu na Mungu wangu
Niletewe nuru yako na kweli yako ziniongoze,
Zinifikishe kwenye mlima wako mtakatifu na hata maskani yako.
K. Umtumaini Mungu, kwa maana nitakuja kumsifu aliye afya ya uso wangu na Mungu wangu
Hivyo nitakwenda madhabahuni kwa Mungu,
kwa Mungu aliye furaha yangu na shangwe yangu;
Nitakusifu kwa kinubi,
Ee MUNGU, Mungu wangu.
K. Umtumaini Mungu, kwa maana nitakuja kumsifu aliye afya ya uso wangu na Mungu wangu
Injili
Lk 9:18-22Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni