Wat. Korneli (Baba Mtakatifu) na Sipriano (Askofu
· Mwaka C · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
1Tim 2:1-8Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 28:2, 7-9Na ahimidiwe Bwana maana ameisikia sauti ya dua yangu.
Uisikie sauti ya dua yangu nikuombapo,
Nikipainulia patakatifu pako mikono yangu.
K. Na ahimidiwe Bwana maana ameisikia sauti ya dua yangu.
Bwana ni nguvu zangu na ngao yangu.
Moyo wangu umemtumaini,
Nami nimesaidiwa;
Basi, moyo wangu unashangilia,
Na kwa wimbo wangu nitamshukuru.
K. Na ahimidiwe Bwana maana ameisikia sauti ya dua yangu.
Bwana ni nguvu za watu wake,
Naye ni ngome ya wokovu kwa masihi wake.
Uwaokoe watu wako, uubariki urithi wako,
Uwachunge, uwachukue milele.
K. Na ahimidiwe Bwana maana ameisikia sauti ya dua yangu.
Injili
Lk 7:1-10Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni