Jumatano ya 23 ya Mwaka
· Mwaka C · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
Kol 3:1-11Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 145:2-3, 10-13Bwana ni mwema kwa watu wote.
Kila siku nitakuhimidi,
Nitalisifu jina lako milele na milele.
Bwana ndiye mkuu mwenye kusifiwa sana,
Wala ukuu wake hautambulikani.
K. Bwana ni mwema kwa watu wote.
Ee Bwana, kazi zako zote zitakushukuru,
Na wacha Mungu wako watakuhimidi.
Wataunena utukufu wa ufalme wako,
Na kuuhadithia uweza wako.
K. Bwana ni mwema kwa watu wote.
Ili kuwajulisha watu matendo yake makuu,
Na utukufu wa fahari ya ufalme wake.
Ufalme wako ni ufalme wa zamani zote,
Na mamlaka yako ni ya vizazi vyote.
K. Bwana ni mwema kwa watu wote.
Shangilio la Injili
Zab 119:28,33Unitie nguvu sawasawa na neno lako, Ee Bwana, unifundishe njia ya amri zako.
Aleluya.
Injili
Lk 6:20–26Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni