Ijumaa ya 22 ya Mwaka
· Mwaka C · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
Kol 1:15-20Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 100:2-5Njoni mbele ya Bwana kwa kuimba kwa furaha.
Mtumikieni Bwana kwa furaha;
Njoni mbele zake kwa kuimba;
K. Njoni mbele ya Bwana kwa kuimba kwa furaha.
Jueni kwamba Bwana ndiye Mungu;
Ndiye aliyetuumba na sisi tu watu wake;
Tu watu wake, na kondoo wa malisho yake.
K. Njoni mbele ya Bwana kwa kuimba kwa furaha.
Ingieni malangoni mwake kwa kushukuru;
Nyuani mwake kwa kusifu;
Mshukuruni, lihimidini jina lake;
K. Njoni mbele ya Bwana kwa kuimba kwa furaha.
Kwa kuwa Bwana ndiye mwema;
Rehema zake ni za milele;
Na uaminifu wake vizazi na vizazi.
K. Njoni mbele ya Bwana kwa kuimba kwa furaha.
Injili
Lk 5:33-39Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni