Sikukuu ya Mt. Bartolomeo (Mtume)
· Mwaka C
Somo la Kwanza
Ufu 21:9-14Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 145:10-13, 17-18Wacha Mungu wataunena utukufu wa ufalme wako, Ee Bwana.
Ee Bwana, kazi zako zote zitakushukuru,
Na wacha Mungu wako watakuhimidi.
Wataunena utukufu wa ufalme wako,
Na kuuhadithia uweza wako.
K. Wacha Mungu wataunena utukufu wa ufalme wako, Ee Bwana.
Ili kuwajulisha watu matendo yake makuu,
Na utukufu wa fahari ya ufalme wake.
Ufalme wako ni ufalme wa zamani zote,
Na mamlaka yako ni ya vizazi vyote.
K. Wacha Mungu wataunena utukufu wa ufalme wako, Ee Bwana.
Bwana ni mwenye haki katika njia zake zote,
Na mwenye fadhili juu ya kazi zake zote.
Bwana yu karibu na wote wamwitao,
Wote wamwitao kwa uaminifu.
K. Wacha Mungu wataunena utukufu wa ufalme wako, Ee Bwana.
Injili
Yn 1:45-51Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni