Jumatano ya 20 ya Mwaka
· Mwaka C · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
Amu 9:6-15Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 21:1-6Ee Bwana, mfalme atazifurahia nguvu zako.
Ee Bwana, mfalme atazifurahia nguvu zako,
Na wokovu wako ataufanyia shangwe nyingi sana.
Umempa haja ya moyo wake,
Wala hukumzuilia matakwa ya midomo yake.
K. Ee Bwana, mfalme atazifurahia nguvu zako.
Maana umemsogezea baraka za heri,
Umemvika taji ya dhahabu safi kichwani pake.
Alikuomba uhai, ukampa,
Muda mrefu wa siku nyingi, milele na milele.
K. Ee Bwana, mfalme atazifurahia nguvu zako.
Utukufu wake ni mkuu kwa wokovu wako,
Heshima na adhama waweka juu yake.
Maana umemfanya kuwa baraka za milele,
Wamfurahisha kwa furaha ya uso wako.
K. Ee Bwana, mfalme atazifurahia nguvu zako.
Injili
Mt 20:1-16Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni