Dominika ya 20 ya Mwaka
· Mwaka C · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
Yer 38:4–6, 8–10Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 40:1–3, 17Ee Bwana, unisaidie hima
Nalimngoja Bwana kwa saburi,
Akaniinamia akakisikia kilio changu.
K. Ee Bwana, unisaidie hima
Akanipandisha toka shimo la uharibifu,
Toka udongo wa utelezi;
Akaisimamisha miguu yangu mwambani,
Akaziimarisha hatua zangu.
K. Ee Bwana, unisaidie hima
Akatia wimbo mpya kinyani mwangu,
Ndiyo sifa zake Mungu wetu.
Wengi wataona na kuogopa,
Nao watamtumaini Bwana.
K. Ee Bwana, unisaidie hima
Nami ni maskini namhitaji,
Bwana atanitunza.
Ndiwe msaada wangu na wokovu wangu,
Ee Mungu wangu, usikawie.
K. Ee Bwana, unisaidie hima
Somo la Pili
Ebr 12:1–4Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Lk 19:38Ndiye mbarikiwa Mfalme ajaye kwa jina la Bwana; Amani mbinguni, na utukufu huko juu.
Aleluya.
Injili
Lk 12:49–53Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni