Jumatatu ya 18 ya Mwaka
· Mwaka C · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
Hes 11:4-15Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 81:11-16Mwimbieni Mungu, nguvu zetu, nyimbo za furaha.
Watu wangu hawakuisikiliza sauti yangu,
Wala Israeli hawakunitaka.
Nikawaacha wakaenda kwa ukaidi wa mioyo yao,
Waenende katika mashauri yao.
K. Mwimbieni Mungu, nguvu zetu, nyimbo za furaha.
Laiti watu wangu wangenisikiliza,
Na Israeli angeenenda katika njia zangu;
Ningewadhili adui zao kwa upesi,
Na juu ya watesi wao ningegeuza mkono wangu.
K. Mwimbieni Mungu, nguvu zetu, nyimbo za furaha.
Wamchukiao Bwana wangenyenyekea mbele zake,
Bali wakati wao ungedumu milele.
Naam, ningewalisha kwa unono wa ngano,
Ningewashibisha kwa asali itokayo mwambani.
K. Mwimbieni Mungu, nguvu zetu, nyimbo za furaha.
Shangilio la Injili
Zab 119:34Unifahamishe nami nitaishika sheria yako, nitaitii kwa moyo wangu wote.
Aleluya.
Injili
Mt 14:13-21Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni