Dominika ya 15 ya Mwaka
· Mwaka C · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
Kumb 30:10–14Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 68:13, 16, 29–30, 32–33, 35–36Enyi mmtafutao Mungu, mioyo yenu ihuishwe.
Nami maombi yangu nakuomba Wewe Bwana,
Wakati ukupendezao; Ee Mungu.
Kwa wingi wa fadhili zako unijibu.
Katika kweli ya wokovu wako.
Ee Bwana, unijibu, maana fadhili zako ni njema,
Kwa kadiri ya rehema zako unielekee.
K. Enyi mmtafutao Mungu, mioyo yenu ihuishwe.
Nami niliye maskini na mtu wa huzuni.
Mungu, wokovu wako utaniinua.
Nitalisifu jina la Mungu kwa wimbo,
Nami nitamtukuza kwa shukrani.
K. Enyi mmtafutao Mungu, mioyo yenu ihuishwe.
Walioonewa watakapoona watafurahi;
Enyi mmtafutao Mungu, mioyo yenu ihuishwe.
Kwa kuwa Bwana huwasikia wahitaji.
Wala hawadharau wafunga wake.
K. Enyi mmtafutao Mungu, mioyo yenu ihuishwe.
Maana Mungu ataiokoa Sayuni, na kuijenga miji ya Yuda,
Wazao wa watumishi wake watairithi,
Nao walipendao jina lake watakaa humo.
K. Enyi mmtafutao Mungu, mioyo yenu ihuishwe.
Somo la Pili
Kol 1:15–20Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Mdo 16:14Fungua moyo wetu, Ee Bwana, ili tuyatunze maneno ya Mwanao.
Aleluya.
Injili
Lk 10:25–37Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni