Ijumaa ya 14 ya Mwaka
· Mwaka C · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
Mwa 46 :1-7, 28-30Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 37 :3-4, 18-19, 27-28, 39-40Wokovu wa wenye haki una Bwana.
Umtumaini Bwana ukatende mema,
ukae katika nchi, upendezwe na uaminifu.
Nawe utajifurahisha kwa Bwana,
naye atakupa haja za moyo wako.
K. Wokovu wa wenye haki una Bwana.
Bwana anazijua siku za wakamilifu,
na urithi wao utakuwa wa milele.
Hawataaibika wakati wa ubaya,
na siku za njaa watashiba.
K. Wokovu wa wenye haki una Bwana.
Jiepue na uovu, utende mema,
na kukaa hata milele.
Kwa kuwa Bwana hupenda haki,
wala hawaachi watauwa wake.
K. Wokovu wa wenye haki una Bwana.
Na wokovu wenye haki una Bwana,
Yeye ni ngome yao wakati wa taabu.
Naye Bwana huwasaidia na kuwaopoa,
huwaopoa na wasio haki na kuwaokoa,
kwa kuwa wamemtumaini Yeye.
K. Wokovu wa wenye haki una Bwana.
Shangilio la Injili
Yak 1:21Pokeeni kwa upole neno la Mungu lililopandwa ndani, liwezalo kuziokoa roho zenu.
Aleluya.
Injili
Mt 10:16-23Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni