Jumanne ya 13 ya Mwaka
· Mwaka C · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
Mwa 19:15-29Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 26:2-3,9-12Fadhili zako, ee Bwana, zi mbele ya macho yangu.
Ee Bwana, unijaribu na kunipima;
Unisafishe mtima wangu na moyo wangu.
Maana fadhili zako zi mbele ya macho yangu,
Nami nimekwenda katika kweli yako.
K. Fadhili zako, ee Bwana, zi mbele ya macho yangu.
Usiiondoe nafsi yangu pamoja na wakosaji,
Wala uhai wangu pamoja na watu wa damu.
Mikononi mwao mna madhara,
Na mkono wao wa kuume umejaa rushwa.
K. Fadhili zako, ee Bwana, zi mbele ya macho yangu.
Ila mimi nitakwenda kwa ukamilifu wangu;
Unikomboe, unifanyie fadhili.
Mguu wangu umesimama palipo sawa;
Katika makusanyiko nifamhimidi Bwana.
K. Fadhili zako, ee Bwana, zi mbele ya macho yangu.
Shangilio la Injili
Yn 14:23Mtu akinipenda, atalishika neno langu, na Baba yangu atampenda, na sisi tutakuja kwake.
Aleluya.
Injili
Mt 8:23-27Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni