Ijumaa ya 8 ya Mwaka
· Mwaka C
Somo la Kwanza
1Pet 4:7-13Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 96:10-13Semeni katika mataifa, Bwana ametamalaki; Naam,
ulimwengu umethibitika usitikisike,
Atawahukumu watu kwa adili.
(K)Bwana anakuja aihukumu nchi.
Mbingu na zifurahi, nchi na ishangilie,
Bahari na ivume na vyote viijazavyo,
Mashamba na yashangilie, na vyote vilivyomo,
Ndipo miti yote ya mwituni iimbe kwa furaha;
(K)Bwana anakuja aihukumu nchi.
Mbele za Bwana, kwa maana anakuja, Kwa maana anakuja aihukumu nchi.
Atauhukumu ulimwengu kwa haki, Na mataifa kwa uaminifu wake.
(K)Bwana anakuja aihukumu nchi.
Shangilio la Injili
Yn 15:16Naliwachagua ninyi kutoka ulimwenguni mkazae matunda yatakayodumu, asema Bwana.
Aleluya
Injili
Mk 11:11-26Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni