Ijumaa ya 11 ya Mwaka
· Mwaka C
Somo la Kwanza
2Kor 11:18, 21-30Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 34:1-6Wenye haki Bwana anawaponya na taabu zao zote.
Nitamhimidi Bwana kila wakati,
Sifa zake zi kinywani mwangu daima.
Katika Bwana nafsi yangu itajisifu,
Wanyenyekevu wasikie wakafurahi.
K. Wenye haki Bwana anawaponya na taabu zao zote.
Mtukuzeni Bwana pamoja nami,
Na tuliadhimishe jina lake pamoja.
Nalimtafuta Bwana akanijibu,
Akaniponya na hofu zangu zote.
K. Wenye haki Bwana anawaponya na taabu zao zote.
Wakamwelekea macho wakatiwa nuru,
Wala nyuso zao hazitaona haya.
Maskini huyu aliita, Bwana akasikia,
Akamwokoa na taabu zake zote.
K. Wenye haki Bwana anawaponya na taabu zao zote.
Injili
Mt 6:19-23Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni