KUMBUKUMBU YA MT. ANTONI WA PADUA
· Mwaka C
Somo la Kwanza
2Kor 3:15 – 4:1, 3 – 6Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 85:8 – 13Utukufu wake ukae katika nchi yetu.
Nisikie atakavyosema Mungu Bwana,
Maana atawaambia watu wake Amani,
Naam, na watauwa wake pia,
Bali wasiurudie upumbavu tena.
Hakika wokovu wake u karibu na wamchao,
Utukufu ukae katika nchi yetu.
K. Utukufu wake ukae katika nchi yetu.
Fadhili na kweli zimekutana,
Haki na Amani zimebusiana.
Kweli imechipuka katika nchi,
Haki imechungulia kutoka mbinguni.
K. Utukufu wake ukae katika nchi yetu.
Naam, Bwana atatoa kilicho chema,
Na nchi yetu itatoa mazao yake.
Haki itakwenda mbele zake,
Nayo itazifanya hatua zetu kuwa njia.
K. Utukufu wake ukae katika nchi yetu.
Shangilio la Injili
Efe. 1:17, 18Mungu wa Bwana wetu Yesu Kristo, awape roho wa hekima mjue tumaini la mwito wake.
Aleluya.
Injili
Mt. 5:20-26Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni